Landing Page
Makala
Kuhusu
More
"Neema ni tabia ya Mungu kututendea mema tusiyostahili na nguvu kutoka kwake inayotenda mema ndani yetu na kwa ajili yetu."
"Mungu anaruhusu kifo kibaki ulimwenguni kama ushuhuda wa dhambi. Kwa watoto wa Mungu, kifo si ghadhabu tena, bali ni njia ya kuingia katika wokovu."
"Je, imani yako inakufanya uwe na shauku ya kuacha dhambi na kupiga hatua katika utakatifu?"